Home » Sichomoi by BARNABA

Sichomoi by BARNABA

Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomoi

Hajaniita naitika
Kwake mwikuzikujanga na ndita iyo
Mwili nishazimika
Macho nimeziba masikio pamba hio

Mlume ninyonge tai mmh
Bata tukale Dubai
Morale pandisha ka masai
Mbele ya hiyo kitu sikatai

Mlume nimedata iyo
Katoto kamenikamata iyo
Mlume nimedata iyo
Katoto kamenikamata iyo

Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi

Si tumekuja kubeng
Kamata glass weka wine
Stori tuzimaliziage chumbani
Nikupeleke miami kisha nikufikishage kilimani

Mlume ninyonge tai mmh
Bata tukale Dubai
Morale pandisha ka masai
Mbele ya hiyo kitu sikatai

Mlume nimedata iyo
Katoto kamenikamata iyo
Mlume nimedata iyo
Katoto kamenikamata iyo

Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomoi

Mtoto chodere chodere
Chodere yoyoyo, hayayaya
Mtoto chodere chodere
Chodere yoyoyo, hayayaya

Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomoi

Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomo sichomoi
Sichomo sichomoi