Home » Anakudanganya by SMILE THEGENIUS

Anakudanganya by SMILE THEGENIUS

Beat by Kat P

Huyu mwangalie eh
Hana mapenzi ana kudaganya
Hebu mwangalie eh
Kama moyoni ana mapenzi sana
Anajifanya kama hanaga hatia
Yani mpole mpole
Jambo dogo  anakulidhia
Kama mpole mpole haaa ha

Uki kosea wewe
Ata kuomba yeye samahani Honey
Mapenzi kede kede
Hata jifanya kama sharukhan I (khan )

Atajifanya bwana ushauri
Eti anaona mbali
Weka akiba mala acha mashoga
Ushaul wa kidakitali

Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo
Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo
(nawe unadaganyika)
Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo
Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo

Kupiga simu kila muda
Eti ndo anatamani
Kusikia sauti yako
Whatsapp emoji makopa  kopa
Eti ndo silalii
Kwa ajili yako ooh
Atajifanya kukukumbusha baby ushakula
Eti kunywa maji mengi kabla ya kulala
Eti ameoza amekufa kwako fala muongo oh
Atakupa mapenzi ya pwani mpaka bala
Ili apate tendo ama anataka ela
Eti amalewa mapenzi tilalila muongo

Atajifanya bwana ushauri
Eti anaona mbali
Weka akiba mala acha mashoga
Ushaul wa kidakitali

Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo
Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo
(nawe unadaganyika)
Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo
Anakudanganya uyoo uyoo
Anakuda nganya uyoo

Ana, ana, ana, ana
Anakudanganya uyo
Ana, ana, ana, ana
Anakudanganya uyo oooh
Anakudanganya uyo ooh
Anakudanganya uyo