Home » Pale pale by SIZE 8 REBORN

Pale pale by SIZE 8 REBORN

Pale umenitoa baba, pale unanipeleka,
Siko pale pale ningependa kuwa,
Pia siko pale pale, pale nilianzia,
Siko pale pale ningependa kuwa,
Pia siko pale pale, pale nilianzia,
Wewe ndiye bwana unayepeana
Maana kila kitu ni chako oh,
Wewe ndiye bwana unayeongezana,
Tukiwa waminifu na kidogo,
Badala ya njia kombokombo,
Afadhali nianze na kidogo,
Uliahidi utanibariki, silalamiki,
Nasema asante eh,
Pale umenitoa baba, pale unanipeleka,
Siko pale pale ningependa kuwa,
Pia siko pale pale, pale nilianzia,
Siko pale pale ningependa kuwa,
Pia siko pale pale, pale nilianzia,
Aliye na kidogo anataka nyingi,
Aliye na nyingi anataka amani,
Hicho ndicho kizungumkuti cha mbali,
Tutafute ufalme wa mungu kwanza,
Badala ya njia kombo kombo,
Afadhali nianze na kidogo,
Uliahidi utanibariki, silalamiki,
Nasema asante eh,
Pale umenitoa baba, pale unanipeleka,
Siko pale pale ningependa kuwa,
Pia siko pale pale, pale nilianzia,
Siko pale pale ningependa kuwa,
Pia siko pale pale, pale nilianzia,