Home » Chachisha by KAYVO KFORCE Feat. MR. KE4, SCAR MKADINALI

Chachisha by KAYVO KFORCE Feat. MR. KE4, SCAR MKADINALI

Acha za kiki buda we nani punguza pupa ah
Si tuko lit we umezima we party pupa ah
Skinny ndo jeans cheki mifuko jo zimefura ah
Yengs amejipa zangu zimeshika naitisha Uber yeah yeah

Acha za kiki buda we nani punguza pupa ah
Si tuko lit we umezima we party pupa ah
Skinny ndo jeans cheki mifuko jo zimefura ah
Yengs amejipa zangu zimeshika naitisha Uber yeah yeah

Tunachachisha, tunachachisha
Tunachachisha kabla uwake tunakuzima yeah yeah
Tunachachisha, tunachachisha
Tunachachisha kabla uwake tunakuzima yeah yeah

Hawa maninja hawanijui joh
Ka ni kuroga mi ndo odijoh
Badman hapana holyjo 
Sijishughulishi ka si ganji jo

———
——-