Home » Happy Birthday (English Translation) by HARMONIZE

Happy Birthday (English Translation) by HARMONIZE

Kwanza nina furaha ( first of all am happy)
Nitaimba na kucheza (na kucheza) ( I will sing and dance)
Washa mishumaa ( light up the candles)
Weka keki juu ya meza (juu ya meza) ( put the cake on top of the table)

Oh ila usinicheke (ooh please don’t laugh at me)
Nimekuletea zawadi (I have brought you a present)
Kidogo nilichobarikiwa (the small gift I was blessed with)
Haki mwana mpweke ( lonely child)
Aje na dumu la maji (comes with a jar of water)
Asije akumwagia ( so that they don’t at you)

Ah nakapicha kao nitakoposti ( and I will post you picture)
Wasiokupenda itawacosti ( those who don’t love it, it will cost them)
Ah leo siku yako nishajikoki ( today is your day, am well prepared)
Tuko rafiki zako tunasema( we are with your friends, we say)

[CHORUS]
Happy birthday Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday Happy birthday to you
Happy birthday to you

[VERSE 2]
Ah sinywagi pombe leo ntalewa(I dont drink alcohol, but today I’ll drink)
Niwape shonde waliochelewa (I diss the late comers)
Zikinipanda monde nitapepewa (when I get drunk, they calm me down)
Ah pembe la ng’ombe au malewa ( we drink with cows horn or glasses)

Ila usiforget Kusema asante baba na mama (don’t forget to thank your mom and dad)
Walokukuza ukakua (they took care of you till you grew )
Tunakupa na keki kwa wema ( we give you cake with kindness)
Akulinde baba Maulana (may God protect you)
Twakuombea na dua (we pray for you)

Ah nakapicha kao nitakoposti ( and I will post you picture)
Wasiokupenda itawacosti ( those who don’t love it, it will cost them)
Ah leo siku yako nishajikoki ( today is your day, am well prepared)
Tuko rafiki zako tunasema( we are with your friends, we say)

[CHORUS]
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you Happy birthday to you
Happy birthday to you Kata keki kata

(Kata) Ooh Kata (Kata) (cut the cake, cut)
Kata unilishe Keki ya jina lako (kata) (cut the cake… )
Waoneshe na wenzako (kata) (show your friends)
Tupo kwa ajili yako (kata) ( we are here because of you)
Kata unilishe Ooh basi (kata)  
Ooh Kata( Kata) Kata nikuone (cut I see you)
Kata unilishe (Kata) kata… Kata (cut the cake, cut)
Kata unilishe (cut you give me a piece)
Ooh nakapicha kako nitakaposti ( and I will post your picture)